Hatua za Italia za kudhibiti coronavirus: Taifa zima kuchukua hatua ya kujitenga.
Iliyochapishwa
Matembezi ya raia wa Italia wapatao milioni 60 yamedhibitiwa kutokana na mlipuko wa virusi vya corona. Italia ina idadi kubwa zaidi ya vifo vitokanavyo na virusi hivyo baada ya China.