Coronavirus: Je, nchi za SADC ziko tayari kukabiliana na virusi vya corona?

Maelezo ya video, Nchi za SADC ziko tayari kiasi gani kudhibiti virusi vya corona?
Iliyochapishwa

Wakati dunia ikiendelea kuchukua hatua mbali mbali za kukabiliana na maambukizi ya virusi vurusi vya corona, nchini Tanzania,mawaziri wa Afya kutoka nchi 16 za Jumuia ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC wametoa mapendekezo ya kutumia njia mbadala za teknolojia kuendesha vikao vyao badala ya kukutana hiyo ikiwa ni hatua ya kukabiliana na maambukizi.

Viongozi hawa wako tayari kwa namna gani?