Hii ndio sababu dunia inawahitaji 'mabibi wa Instagram'

Maelezo ya video, Nyanya wenye ushawishi katika Instagram
Iliyochapishwa

Achana na kizazi cha miaka ya kuanzia themanini na zaidi, kuna kizazi kipya cha watu wenye ushawishi mkubwa wanaoacha historia kwenye mitandao ya kijamii. Mabibi au nyanya wa Instagram ukipenda Instagrans – ambao wanajulikana kama vikongwe wa wenye ushawishi katika mitandao ya kijamii - wamekua ndio gumzo duniani. Suzi Grant mwenye umri wa miaka 70- mwana blogi kutoka Uingereza anataka kueneza wa kuzeeke ukiwa mwenye mvuto.