Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Kwanini saluni hii ina muonekano wa matatu?
Iliyochapishwa
Matatu ni usafiri wa Umma mjini Nairobi ambao mabasi yake yana muonekano wa aina yake kwa kuwa na michoro ya picha za kuvutia na muziki mkubwa.
Katika picha hiyo, hilo ni jengo la saluni ingawa ukiliona unaweza kudhani umepishana na daladala au gari la abiria maarufu kama matatu mjini Nairobi.
Lakini kwa nini saluni hii ilibuniwa kwa jengo lenye taswira ya matatu?