Katika harusi ya pamoja nchini Ufilipino wanadoa walazimika kuvaa barakoa

Iliyochapishwa

Katika harusi ya pamoja nchini Ufilipino, maharusi wamelazimika kuvaa barakoa na kufanyiwa ukaguzi mkali wa afya. Tahadhari imechukuliwa baada ya ugonjwa wa Corona kuendelea kuzua hofu. Wanandoa 220 walioana katika harusi hiyo ya pamoja inayofanyika kila mwaka na kusimamiwa na serikali.