Wataalamu wanasema watoto wamegeuzwa 'mashine'

Maelezo ya video, Wataalamu wanasema watoto wamegeuzwa 'mashine'
Iliyochapishwa

Watoto wadogo wa umri wa miaka mitano huamka mapema mwendo wa saa kumi na moja alfajiri kwenda shuleni.

Wataalamu wanasema kuwa watoto wameporwa haki yao ya kuwa watoto.