Changamoto kwa watu walemavu kupata mkopo nchini Tanzania

Maelezo ya sauti, Changamoto kwa watu walemavu kupata mkopo nchini Tanzania
Iliyochapishwa

Halmashauri zote nchini Tanzania zinapaswa kutenga asilimia mbili ya mapato kwa ajili ya walemavu, changamoto iko wapi katika kutekeleza suala hilo?