Pamoja na kutokuwa na miguu na mikono, Tio anayafurahia maisha yake

Maelezo ya video, Pamoja na kutokuwa na miguu na mikono, Tio anayafurahia maisha yake
Iliyochapishwa

Tio, kijana kutoka Indonesia, alizaliwa bila mikono wala miguu. Lakini hali hii haimzuii kuendelea na maisha yake.

Anaongea na BBC kuhusu maisha yake.