Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Baba wa Garil aliuawa kwa bomu nchini Indonesia
Iliyochapishwa
Shambulio hilo la kigaidi baya zaidi kuwahi kutokea nchini Indonesia liligharimu maisha ya zaidi ya watu 200.
Garil anapata fursa ya kukutana na muuaji wa baba yake ambaye sasa anatumikia kifungo cha maisha gerezani.