Chifu wa miaka 90 aliyepambana kuulinda msitu wa Amazon kwa zaidi ya miaka 50

Maelezo ya video, Chifu mzawa wa miaka 90 aliyepambana kuulinda msitu wa Amazon kwa zaidi ya miaka 50
Iliyochapishwa

Wanaharakati wa mazingira na makundi ya wazawa wanasema sera za kiongozi wa Brazil Jair Bolsonaro zimechangia kwa kiasi kikubwa uangamizaji wa msitu wa mvua. Chifu Raoni Metuktire anatembelea Uingereza kujaribu kuhamasisha uungaji mkono wa kimataifa juu ya mpango wao wa kuunusuru msitu wa Amazon.