Abdel Aziz Nasser: Kwa nini raia wa Iraq hawaogopi kumpasha habari polisi huyu

Iliyochapishwa

Idhaa ya BBC Arabic ilifanikiwa kuzungumza na maafisa wa polisi wa mjini Baghdad kabla ya maandamano yanayoendelea.

Kutana na Meja Abdel Aziz Nasser- mtu anayefuata sheria ambaye anajaribu kuimarisha sifa ya polisi kufuatia ghasia na mapigano.