Spika wa bunge nchini Marekani amesema alistahili kuchana hotuba ya Trump
Iliyochapishwa
Spika wa bunge Nancy Pelosi amezungumzia kitendo chake kilichovutia vichwa vya habari, cha kuchana kurasa za karatasi zilizokuwa na hotuba ya Rais Donald Trump.
Alipoulizwa kwa nini alifanya hivyo, Spika Pelosi aliwaambia wanahabari : ‘’ilikuwa ni jambo la kustahili kufanya hivyo’’
‘’Hotuba yake ilikuwa takataka’’