Kilimo Tanzania: Maparachichi kuchukua soko la kahawa
Iliyochapishwa
Baadhi ya wakulima wa kahawa mkoani Kilimanjaro wanaachana na zao la kahawa ambalo limewahi kuwa msingi wa uchumi wa mkoa huo kwa muda mrefu na sasa wanaligeukia zao la parachachi ambalo wanasema halina gharama kubwa kulitunza.
Mwandishi wa BBC, Eagan Salla ametuandalia taarifa hii.