Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Lakini upasuaji huu unahusu nini na je unafaida yoyote?
Iliyochapishwa
Upasuaji wa kurekebisha uke ni upasuaji wa kawaida japo haufanyiki mara kwa mara ikilinganishwa na oparesheni za aina nyingine hasa katika nchi za kiafrika.
Lakini upasuaji huu unahusu nini na je unafaida yoyote?
Dkt Luzango Maembe, daktari bingwa wa wanawake nchini Tanzania amezungumza na mwandishi wa BBC Anne Ngugi.