Coronavirus: Wakazi wa Wuhan waimba kujipatia motisha
Iliyochapishwa
Video zilizosambazwa katika mitandao ya kijamii ya China zinaonesha wananchi wanaoimba na kushangilia kutoka kwa madirisha ya nyumba zao, katika kile kinachoonekana kuwa juhudi za kujipatia motisha.
