Je umewahi kuona miwani iliyotengenezwa kutokana na kahawa?

Maelezo ya video, Miwani iliyotengenezwa kutokana na kahawa
Iliyochapishwa

Ushawahi kuona miwani iliyotengezwa kutokana na mabaki ya kahawa?

Mtu mmoja amejitolea kufanya wazo hili adimu kuwa la kweli.

Aliwezaje kutengeneza miwani hiyo ? Hebu tazama video hii