Wakinababa wengi wa Japan wanahofia kuchukua likizo ya uzazi
Iliyochapishwa
Nchini Japanwakinababa wengi wamekua hawapendi kuchukua likizo ya uzazi baada ya wake zao kujifungua licha ya kwamba wanaruhusiwa kuchukua likizo ya siku 30 baada ya wake zao kujifungua. Ni asilimia 6 tu ya wanaume wa Japan wanaokubali kuchukua likizo ya uzazi.