Mashitaka ya Donald Trump kusikilizwa leo?

Iliyochapishwa

Rais Donald Trump anakabiliwa na kesi ambayo bunge la seneti linaweza kumuondoa madarakani.

Lakini hii ni mara ya tatu katika historia kwa rais wa Marekani kukabiliana na mashtaka ingawa wawili wa awali hawakutwa hatiani. Nini kinachosababisha Trump ashitakiwe?