Mamilioni ya watu huenda wasiwe na mawasiliano juma lijalo

Maelezo ya video, Mamilioni ya watu huenda wasiwe na mawasiliano juma lijalo
Iliyochapishwa

Watu wamejitokeza kwa wingi kupata namba za vitambulisho vya taifa ikiwa ni kigezo cha kuwezesha laini za simu kusajiliwa.