Kutana na fundi makanika asiyeona
Iliyochapishwa
Pamoja na changamoto ya kutoona inayomkabili, fundi Emeka anafanya kazi ya kutengeneza magari bila usaidizi wowote.