Utamaduni wa uchongaji Ngalawa umekuwa ukienziwa sana mjini Bagamoyo

Maelezo ya video, Utamaduni wa uchongaji Ngalawa umekuwa ukienziwa sana mjini Bagamoyo
Iliyochapishwa

Vijana wengi wamekuwa wakikwepa kujifunza wakiamini sanaa hii imepitwa na wakati na ni ya wazee.