Tamasha la barafu lawa kivutio Kaskazini Mashariki mwa China

Iliyochapishwa

Tamasha la kimataifa la Harbin hufanyika kila mwaka, huku kukiwa na hali ya hewa ya baridi kali.