Katika nyanja za mawasiliano kasi ya mtandao ni muhimu sana
Iliyochapishwa
Watu wachache wanamiliki simu zenye kasi ya mtandao wa 5G, hali ambayo inatarajiwa kubadilika punde kwenda sambamba na kasi ya maendeleo duniani.