Farouk James: mtoto aliyepata umaarufu Instagram kwa kuwa na nywele ndefu

Maelezo ya video, Farouk James: mtoto aliyepata umaarufu Instagram kwa kuwa na nywele ndefu
Iliyochapishwa

Mtoto aliye na nywele ndefu kupita kiasi amepata umaarufu katika mtandao wa kijamii wa Instagram star. Farouk James mwenye umri wa miaka saba kutoka London amekuwa maarufu. Mama yake hata hivyo amekuwa akikosolewa kwa kumuachia nywele ndefu kiasi hicho.