Teknololjia na mambo yalivyobadilika ndani ya mwongo mmoja
Iliyochapishwa
Tahadhari video hii inaweza kukufanya ujihisi mzee! Hivi ndivyo mwongo huu ulivyoanza na mambo mengi yamebadilika. Kuanzia mfumo wa mawasiliano hadi mfumo wa utawala ambapo raia walitumia maadamano kuleta mageuzi katika mataifa ya Waarabu.