Wafahamu wanawake wa Afrika waliobobea mwaka 2019

Maelezo ya video, Wanawae wa Afrika waliobobea mwaka 2019
Iliyochapishwa

Wanawake barani Afrika walionesha umahiri wao katika nyanja tofauti mwaka 2019. Hawa ni baadhi ya wanawake ambao michango yao iligonga vichwa vya habari mwaka huu iwe ni katika masuala ya uhifadhi wa mazingira, siasa, kutetea haki na hata katika viwanja vya michezo.