Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Jinsi gani unashiriki katika kujifunza kwa mtoto wako?
Iliyochapishwa
Katika haba na haba wiki hii, tunaangazia vipindi vilivyo fana sana na kupata mwitikio mkubwa kwenye kurasa za mitandao ya kijamii mwaka 2019. Tutaangazia kipindi cha kujifunza kwa mtoto ambapo tunahoji, unashiriki vipi katika kujifunza kwa mtoto wako katika mwaka mpya wa masomo? Na pia tutaangazia swala la upatikanaji wa vitambulisho vya taifa Tanzania (NIDA).