Je picha halisi zinaweza kupunguza uchungu wa uzazi?

Maelezo ya video, Teknolojia inayopunguza uchungu wa uzazi
Iliyochapishwa

Hospitali moja ya Wales inatumia picha halisi kuwasaidia wakinamama kupunguza uchungu katika hatua zao za mwanzo za kujifungua. Mama mtarajiwa Hannah Lelii anaelezea uzoefu wake.