Mwanaume anayevaa mifuko ya plastiki Dakar
Iliyochapishwa
Kwa miaka mingi, Modou Fall amekuwa akihamasisha watu kuacha kutumia plastiki haswa mifuko ya plastiki.
Mwanaume huyu huwa anavaa mifuko ya plastiki na kuzunguka katika mitaa ya mji wa Dakar akielezea umuhimu wa kuacha kutumia bidhaa za plastiki.
