Vijana wa Kapisa, Afghanistan ambao wanajilinda na bunduki wakiwa shule

Iliyochapishwa

Katika maeneo mengi duniani, wanafunzi hubeba mikoba, madaftari, kalamu na penseli wakiwa shuleni. Lakini katika jimbo la Kapisa, Afghanistani wanafunzi wa shule hii wanalazimika kubeba bunduki tayari kwa kukabiliana na mashambulizi.