'Ngozi yangu ina magamba kama ya samaki'

Iliyochapishwa

Nisha Lobo, anakabiliwa na tatizo la ngozi linalojulikana kama Lamallar lchthyosis.

Hali hiyo linafanya ngozi kukauka na kupasuka na wakati mwingine kumuacha na maumivu makali.

Lakini tatizo hilo halijamfanya kupoteza matumaini maishani.