Je barabara za umeme zinaweza kuleta mageuzi ya hewa safi?

Maelezo ya video, Je barabara za umeme zinaweza kuleta mapinduzi ya hewa safi?
Iliyochapishwa

Malori maalumu yafanyiwa majaribio katika baraba za umeme nchini Ujerumani . Nishati ya umeme huwekwa moja kwa moja katika malori kwa njia ya nyaya zinazopita juu. Usafiri huu ni wa gharama kubwa - lakini unaweza kupunguza utoaji wa hewa chafu ya kaboni.