Saratani: 'Nilikusihi unieleze dhamira yako'

Iliyochapishwa

Othelia Maimane, raia wa Afrika kusini ni mama wa watoto wawili na amekuwa akipokea matibabu ya saratani ya matiti anayougua. Je ugonjwa huo umeyaathiri vipi maisha yake? Amezungumza na Mwandishi wa BBC David Wafula.

Video: Anne Okumu