Kijiji kilichosalia kuwa mahame baada ya maporomoko huko Pokot magharibi mwa Kenya

Maelezo ya video, Maisha Pokot Magharibi baada ya maporomoko ya udongo
Iliyochapishwa

Waathiriwa wa maporomoko ya udongo ya siku ya Jumamosi Pokot Magharibi nchini Kenya wanaendelea kupokea msaada wa kibinadamu.

Zaidi ya 60 wailiripotiwa kufariki na mamia ya wengine kuachwa bila makao baada ya nyumba zao kusombwa na maji ya mafuriko au kuzikwa na maporomoko ya udongo.

Mwandishi wa BBC Mercy Juma alitembelea kijiji kimoja ambacho kiliathiriwa na mkasa huo kujionea hali ilivyo kwa sasa.

Video na Hassan Lali