Maandamano Iran: Picha mpya zasambaa duniani baada ya mtandao kurejea Iran
Iliyochapishwa
Mamlaka za Iran hazijatoa takwimu zozote kuhusu athari zilizotokea wakati wa maandamano, lakini Amnesty International imesema imepokea ripoti kutoka kwa vyanzo vinavyoaminika kuwa waandamanaji 143 waliuawa.