Wateja wamekuwa wakimiminika katika mkahawa 'kunywa sura zao' kwenye kikombe cha kahawa.
Iliyochapishwa
Mjini Mombasa pwani ya Kenya kuna mkahawa ambao una mashine inayochapisha picha ya mteja kwenye kikombe cha kahawa.
Mashine hiyo ya kipekee inakutengenezea kahawa yenye picha yako kwa dakika saba tu.
Tazama jinsi mashine hiyo inavyofanya kazi...