M-lugha app: Programu inayowawezesha wanafunzi na waalimu kuelewana darasani

Maelezo ya video, Programu inayotafsiri lugha darasani
Iliyochapishwa

Abdinoor Alimahad, kijana mhandisi wa mawasiliano kutoka jimbo la Kaskazini Mashariki ameshuhudia binafsi changamoto za watoto wanaosoka katika jamii zilizobaki nyuma kimaendelea , hususan katika masomo ya lugha . Alibuni programu inayoitwa M-Lugha, ambayo ni app inayotafsiri mtaala wa sasa wa masomo nchini Kenya kutoka lugha ya Kiingereza na kuiweka taka lugha mama....