Wanasayansi wanaelezea umuhimu wa kupata lepe la usingizi
Iliyochapishwa
Kupata lepe la usingizi mara moja au mbili kwa wiki kunaweza kukusaidia kuishi maisha marefu.
Haya ni kwa mujibu wa utafiti mpya uliotolewa mwezi huu. Wanasayansi katika Chuo Kukuu cha Hospitali ya Lausanne nchini Switzerland wanasema watu wanasiopata lepe la usingizi mara kwa mara wako katika hatari ya kupata ugonjwa wa kiharusi kuliko wale ambao hawafanyi hivyo.
