Bajaj zimekuwa mkombozi kwenye maandamano nchini Iraq

Maelezo ya video, Bajaj zimekuwa mkombozi kwenye maandamano nchini Iraq
Iliyochapishwa

Namna Bajaj zimekuwa zikiokoa maisha kwenye maandamano Iraq, pamoja na kuwa zimekuwa kero.