Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Takataka zitokanazo na samaki zinavyogeuka kuwa fursa
Iliyochapishwa
Soko la samaki huzalisha tani kwa tani za takataka kila mwaka hasa takataka za ngozi za samaki na kuchafua mazingira, hata hivyo uchafu huu ni fursa kwa Newton Owino.