Ni masuala gani muhimu ya kuyazingatia ili kufanikiwa katika malengo yako?

Iliyochapishwa

Tazama mambo matatu ambayo unayohitaji kutekeleza ili ufanikiwe maishani kama anavyokushauri bilionea kijana barani Afrika na mmiliki wa mojawapo ya klabu maarufu ya soka Afrika mashariki Simba SC - Mohammed Dewji kutoka Tanzania.