Jinsi redio inavyobadilisha maisha ya wanawake Malawi

Iliyochapishwa

Kipindi hiki cha redio kimekuwa kikiwahusisha wanawake kuchangia katika masuala yanayowahusu na kuyapatia suluhu pale inapohitajika.

Mojawapo ya mabadiliko ambayo yaliweza kuafikiwa ni kuhamasisha kijiji kuitisha daraja kutoka kwa serikali ili watoto wasikose kwenda shuleni wakati wa mvua.