OPlerou: Ni kwanini kijana huyu aliamua kutengeza Emoji za Kiafrika?
Iliyochapishwa
Huenda umekuwa ukitumia emoji ambazo zinarangi ya wazungu, lakini kwa OPlerou ameamua kutengeneza Emoji zenye rangi nyeusi ya mwafrika. Katika video hii anaelezea ni kwanini ameamua kutengeneza Emoji za Waafrika.
