Je maboksi haya ya watoto wachanga yanaweza kuokoa maisha yao mitaani nchini Kenya

Iliyochapishwa

Je maboksi ya watoto yanaweza kuokoa maisha ya watoto katika mitaa ya mabanda nchini Kenya?

Nusu ya vifo vya watoto wachanga duniani hufanyika katika eneo la jangwa la sahara barani Afrika, kulingana na Unicef .

Lakini je maboksi ya watoto yanaweza kusaidia kukabiliana na vifo vya watoto wachanga?

Baada ya kusoma taarifa kuhusu maboksi ya watoto kutoka nchini Finland, Lucy Wamboi alitaka kuiga wazo hilo na kulileta katika mitaa ya mabanda ya Kenya.

Mwandishi: David Wafula