Wahamiaji wa Afrika wanaosafiri katika msitu hatari kujaribu kuingia Marekani.

Maelezo ya video, Wahamiaji wa Afrika wanaosafiri katika msitu hatari kujaribu kuingia Marekani.
Iliyochapishwa

Darien Gap ni msitu mojawapo hatari duniani - uliojaa walanguzi, wezi na wanyama hatari.

Basi kwanini maelfu ya waafrika wanajaribu kuuvuka msitu huu Amerika kusini?

Mwandishi wa BBC Catherine Byaruhanga amejiunga na msafara huo.

Mpiga Video: Mohamed Madi

Mzalishaji: Alejandro Millan