Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Makoye Philbert au Makjuice_tz anafanya vizuri katika biashara ya kuuza sharubati
Iliyochapishwa
Je Makoye alifanya mbinu gani hata akafanikiwa katika biashara ya kuuza sharubati? Mtaji wa dola 3 za kimarekani umemfanya apate mafanikio makubwa kwenye biashara yake ambayo imekuwa maarufu sana Tanzania.