Makaburi ya njia ya chini yanajengwa kuzika maiti Jerusalem

Iliyochapishwa

Wayahudi wengi hutamani kuzikwa Jerusalem, lakini mji huo sasa hauna nafasi ya makaburi. Mradi ulioidhinishwa kujenga makaburi ya njia za chini utakaotoa nafasi ya makaburi 22,000 unaendelea, na mazishi ya kwanza yanatarajiwa kufanyika Oktoba 2019.