Je wajua nyama ya nyoka ni tamu nchini Nigeria?

Maelezo ya video, Soko la nyama ya nyoka Nigeria
Iliyochapishwa

Nyoka ambao sio chakula kwa jamii nyingi barani Afrika ni kiteoweo kizuri kwa wengine.

Katika soko la kimataifa la Agbalata, Badagry kuna eneo ambalo nyama ya viumbe hao huuzwa.