Afya: Gharama ya kutibu saratani Kenya

Maelezo ya video, Gharama ya kutibu saratani Kenya
Iliyochapishwa

Ugonjwa wa saratani unasemekana kuwa na dalili kama magonjwa mengine hivyo kusababisha watu wengi kutibiwa magonjwa ambayo sio.Thomas Gitoma aligunduliwa na saratani ya tezi dume Aprili mwaka huu, Hii ni baada ya yeye kutibiwa kwa muda magonjwa mengine ilhali alikuwa akiugua saratani. Anaelezea kuhusu safari yake.