Vipi unaweza kuutambua ugonjwa wa Mabusha?

Maelezo ya video, Vipi unaweza kuutambua Ugonjwa wamabusha?
Iliyochapishwa

Katika vijiji vya Umbuji na Kanuni kisiwani Zanzibar Mzee Hamza na Mzee Shahib, wanaishi na Mabusha - hali inayochangia kufura kwa wakatimaji maji yanajikusanya katika ngozi nyembamba ya korodani. Wanazungumzia changamoto, aibu na unyanyapaa na jinsi walivyofanikiwa kuishi katika jamii na hali hiyo.